Worth every penny…
A sound bar worth every cent for PEASANTS. Post not for birrionaires na watu wa JBL, Bose and others
Kama si sayona ni chieth
Kitambo sana my dad came home with the biggest Sony Home Theater I’d ever seen and I remember staying up all night listening to a whole discography of Michael Jackson with my dad…humming to “Man in the mirror”.
I took u for a better man
A practical mzee. Izi ni vitu za teenagers msee
5 years zinakua junks
Hii ni downgrade ya previous models. Special feature ni hizo wireless speakers pekee
Sinatech yangu hainipei good vibes nikiconnect na TV, bad sound output lakini kwa laptop inatii.
What I have realized is a good system inaweza chuna kwa nyumba na ukitoka kwa mlango huskii sauti hata kidogo.
Ndio hiyo Sasa..and this system just best fits that’s description
It’s a decent sound system but afadhali uongezee doh kiasi kisha ushike S500rf
