A question

Kama ulitupia kunguru Kiswahili alafu akakukataa…baadaye akupate na Hari alafu akuitishe lift utampea??

Long story short. Niliambia kunguru alirudi kwao vile alikuja. If you are shit in her eyes you are shit. Nothing will change because you have a car, in that case a company car.

Thats the way to go bro, hakuna kupikia kazi and kutaftia ng’ombe majani na il hali mwingine anakamua

Unafanya nini na Harrison sasa?

Si ni obvious ana tom bayeye

Safi kabisa freedom fighter. Utaleta paybill upewe yako

:D:D:D:D

ghaseer wewe sana:D:D:D:D:D