Kunguru imesumbua sana imebidi nitumane hii shopping trolley. Kuna billionaire ana reviews za fuel consumption? Watu wa mitumba msisumbue na advice zenu za kusave pesa.
[ATTACH=full]219080[/ATTACH]
bado tukiwa hapo kwa shopping,ever wondered why a month’s shopping costs 12k mkienda na wife shopping but ukimpa 7k aende pekee yake atanunua vitu za miezi mbili na abakishe ya weave???
:D:D:D:D:D:D…
[ATTACH=full]219081[/ATTACH]
nataka fundi anyeweza kujenga na hizi mawe
[ATTACH=full]219083[/ATTACH]
Sababu mkienda naye hata bidhaa hua ananunua designer - kama toilet cleaner ananunua ile hu-advertiziwa na Selina lakini akiwa peke yake ananunua Bloo.:)
Ukapata akina pamba in such a situation, would you lend a hand?
[ATTACH=full]219087[/ATTACH]
Yes ,they might be headed to restore order .
Supermarket siwes ingia na wife, mifuko itatoboka yote. :D:D:D:D:D
Hio pronounced forehead akikupiga hedi una k.o
Why not? Si ni watoto wako watakula/watatumia hio vitu?
I noticed kitambo when we go together she picks excess stuff so the bill comes to between 9 and 12 k. eventually unused bar soaps, detergents,etc accumulate in house. when she goes on her own she buys fewer so her bill is 5 to six k.
i have come to learn that it is an indirect way of saying that you should leave her the bops and the liberty to spend as she wishes.
Hakuna job ya simiti leo.
Nimetumia pesa yangu yote ile eve ya new year…
saizi navuta tu makamasi kwa kitanda. Shame on me
M E ͆͌̌̊̎̾̅͋̅̉ͫ̔͏̷̢̯͓̭̞̯̼ F F̷̷̧̺̖͉̬̭ͥͨ͑ͯ͛ I̖ ̨̫̖͓͍̺̮͖̙̭͓͉͓̹̠
ͧ̋̏̆̄̀̔͆̏̀̆̍ͬ͟͞҉̴̭̺͕͖̬̥̱͕̭̫̠̯͟
͍͕̲̼͈
mawe ambayo amekanyaga ama ya ukuta
captain kaa unaona mawe iko shida mahali
Kila kitu si ya watoto. And there is something called living within your means.
Sijui mliona hizi lini but here goes