wacha leo niulize…kwanini wanawake(wote) kwa matatu huanza kutoa pesa after conductor amemfikia kkwa uso amtingishie mashilingi?conda anaeza kuwa just one row before hers but bado kamefunga handbag.what goes on in their mind,ama their entitled selves alway think conda atawapita akose kuwaitisha juu wewe ni “msupuu”…sijailewa
The same reason anaanzaga kutafuta pesa kwa kibeti after bill imeshamaliza kuhesabiwa supermarket - anatoa tu-thao pande hii, ingine kwa bahasha, tu-hundred crumpled crumpled pande ingine ya kibeti na coins kwa lining ambayo imeraruka na saa hiyo laini nyuma yake imefika Timbuktuuuu.
:Dhakuna cha kujitetea. Unatuekelea, mimi for example, when i am not driving my Mercedes GLE , :D, huwa i put my fare on the outer pocket of my hand bag before niende bus stop ama kwa pocket to avoid kufungua bag na kuexpose my dollars , Euros and some few thaos nisije nikafuatwa :D,
If i do not do that, niko sure siko solo, maybe your attention is drawn to those who do that, its easier to notice that coz it takes a longer time than when a Lady had her fare ready