A Luo Affair

[MEDIA=facebook]224865787558662/posts/6512820305429814[/MEDIA]

Zebus ziaache kubweka!
20230323_193402.jpg

Agreed, hii wanajaribu kusema ni about food prices but clearly ni njaruos haikuamini walishindwa

If it’s about food prices, I support. Kama ni mambo na servers, hapo siyuko.

Kenyans yawa ! Kungoja njaruo wampiganie.

Inafika place hata mwenye anaita maandamano hajui ni ya nini. Mara Cherera 4, mara mafuta, mara unga, mara server. You can see the confusion when one of the accompanying leaders is given the mic to address the crowds. The most creative ones end up saying azimio ehh, azimio aah…nione kwa mkono wangapi tunasema leo ni leo…Asanteni.