A jalopy for big men3 Likes

Well preserved. Inakaa guzzler mbaya

3 Likes

Inakaa tu yuess.

Movies za cowboys pale Texas huwa na majangili wana mashin sampuli hii.

3 Likes

Its definitely a thirsty beast…na parts zinakaa ngori kuzipatana na vile American cars are trash

4 Likes

Offroad ya Rancher. Hii yaweza hata kupanda juu ya mti mradi mti uwe dhabiti.