A graduate said this to us

Quote

“Wasee wa Pure Chem wenye tuligraduate nao sai huwa wako na industries huko Kariobangi Light industries wanapika Geisha na kudistill Jameson, Jack Daniels Kenya Version because the system is unfair. I wont blame them”

… and…?

Mwingine akajibu, boss, i understand you mi niling’ang’ana na power economics and power flow pale year 5 electrical engineering alafu kwenda out here kazi napewa ni kutumwa chai na gazeti na ma secretary…fucks out…bro ilibidi nime quit

najua mumoja hutengeza dawa za ngombe kwa kurepacage small percentage of it anaongeza maji na color agent… Karibu akuwe mbirionea from peasant hehe

Is Mwingine going to start fabricating Benzes out of old drums?

Inakaa mwingine ametembea hadi kwenyu. Mie nangoja akuje kwetu tudoo biz

hapana sahau kiwi na royco

Kwani msee alikuwa amechorwa job ya messenger?