a good or a bad day?

Can’t imagine nmeamka Kusafisha mtu mecho na hii baridi.
[ATTACH=full]112184[/ATTACH]

Thnx:D

Kwani midterm yenu ni refu aje na uko form 2?!

Kwani huvaangi inner wear Elder??Unatembea tu ukipigia watu makofi

Umeji aje nko form tew?

Ni long’i ingine apa kila time nkipocket mikono zote mbili inatend kufunguka mdogo mdogo.

Njaga Snr. Mimi sielewi hii convo yenu

Nothing much, just a lady friend who was trying to save the rest of the day by notifying me of my unzipped fly earlier in the morning ndio akanitumia text. Was just asking if this can mean a good or a bad day coz ilikua asubuhi sana. Forget about @Delus na ujinga yake.

si angekwambia tu, why text? its not an abomination to have a wardrobe malfunction

Walikuwa wengi bana venye izo ofisi zao wako crowded.

pengine aliona vitz na 2 flat tyres

:D:D:D Ama Ford ranger double cabin kubwa ya black imetulia bila wass!

1 Like