Hekaya ikuom
That a very small % of the kenyans, comparing to the many opportunities out thea.
@kabuda Si umeona mengi. Na bado waenda far.
99 nilikuwa nimebamba my university degree. Kwani ?
1999 ndio mwaka nilispank dame after shule tukiwa kwa stage… Nilikuwa class 8 alikuwa 7. Alafu nikashtakiwa kesho yake kwa mwalimu mkuu; nakumbuka kaa nimepiga magoti hapo nje ya ofisi yake nikingoja kupewa mcharazo, saa hiyo naona dunia yangu imefika mwisho… kumbe kuna watu walikuwa na mashida kubwa zaidi
Kuna jamaa tukiwa Klost alifungiwa jela somewhere in Asia. Huyo jamaa alisema ataleta part 2 ya hekaya but Klost died before he could do so. I wish anaweza tafutwa amalizie
Haikuwa klost, ilikuwa papa hapa ktalk.
Was there a part 2 of it? link ya part 1?
I can’t locate the link lakini si ni yule jamaa alishikwa China baada ya a certain Nigerian kufanya makosa?
Thanks. sana
99 nilikuwa class fae. Hapo Heathrow niliponea chupuchupu kuwekwa kwa the next flight back to Kenya. I forgot the address ya my host,Luckily walikuwa hapo nje wananingoja. I gave their number to the Immigration officer akawaring,from thea I ended up kamuaring an old msoongu during the trip.
Ulisomea ualimu huko?
No, Nilisomea CUEA. Why?
ambia @admin arudishe hiyo risto… alikuwa amein`goa after we had some differences in opinion and only he can rudisha it into the Public domain.
Nimedhani ulikuwa huko masomo venye umetaja Heathrow.
We don`t all come from Wealthy Backgrounds where everything is provided for by a Butler on a Silver spoon.
If you are lucky enough never to have Hustled in your life; Just shut the fuck up!..
This Hekaya is meant to encourage anybody who is at a “dead end” in whatever they hoped to be in life Right now and i want them to know that there is always a Dawn after the dark.
I am NOT appealing to your type who think that they have made it in Life.
You really disappoint me sometimes Mrs. Mureithi… aaaarggghhhhh!!!..
Man, I have no idea what a wealthy background is. Mimi ni hustler since age 10. And by my standards, I have made it.Am just questioning if washing dishes abroad is a better idea ct farming in kenya.
Pole if my statement came out like one from miss UhuRuto. I was once a housegirl (story for another day) but today I employ 7 men and feed tens of families directly and indirectly. Point is you don’t have to be in US/ UK to make it.
Ama kuokota takataka kwa railway station…hio ni opuss!
And who suggested that you have to go abroad to make it?
I am jut sharing my story and i am not even suggesting that i have made it by going majuu but for me it was the solution then.
Why do you feel the need to bash anybody for whatever method they choose to lift their living standards?
You might like Farming but i grew up in the City and i wouldn`t know the first thing about farming so why would your model of Survival appeal to me?
Hii ndiyo inaitwa Inferiority Complex na Ujinga as Made in Africa.
Sissi wote hatuwezi kuwa Farmers or whatever you do… the world is so Diverse… nkt!