A Country of Scapegoats

Gachoka akipatikana wrongside na kunguru anasema ni Ruto anamtafta. Sonko akishindwa na kazi, anasema ni cartels wanamsumbua. MCA akishikwa ameiba pesa ya bursary anasema ni gavana anamchezea kabaya. Gatheca akishindwa kulata maendeleo analeta bbi na kuanza kutusi wenye wanaipinga. Its really a country of scapegoats!!! Ongezea zingine…

Wewe ukishindwa kuwa Village Sponsor unaanza kublame @administrator

Wewe ukipata kunguru unasema huwezi Kula juu @doooogi kíhiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii amekula hutaki kusalimiana

Ukishindwa kucomment kwa hii thread, unasema ni shida ya Error 504

Ukinyimwa, unaanza kusema tumesalimiana wangapi hapa:rolleyes:

@Purple na @Motokubwa wakiamua wafukuze wazee Canaan kwa site yao mpya wanasema ati ni juu patco amenunua mji. Scapegoats everywhere.
Ati ndio isemwe ni patco alifukuzana sio wao.

:D:D:D shenzi wewe