@introfart, naona ulibeba crayons nyalgunga… ulimaliza kukamua mary?
[ATTACH=full]74683[/ATTACH]
@introfart, naona ulibeba crayons nyalgunga… ulimaliza kukamua mary?
[ATTACH=full]74683[/ATTACH]
Nimecheka yangu yote. Mad respect @introvert & Merry Christmas. Bure kabisa!!!
mkamba singo madha niaje
Poa sana Omwami. Salimia Clichy sana, mama yake tulikua pamoja!!
Leo unameza 2nd generation ipi Ngombe ya Wenge Musica BCBG
baba , Kuja sanjara niku nunulie Kibao original
someone explain what it means ndio pia nicheke
wewe naskia kuna waarabu wanapanga kukukamua
You are still planning to head on to 2017 with extra skin ? Nenda utolewe kanyama Kwanza. Meffi ya kuku!
PWEGEGEGEGEGE, it’s a cross between shinny and dim eye and definitely and just a bit salty
Agent Kabeach representing…
Akiwa civic duty havai long’i shake shake…
Umenikumbusha kikundi asilia cha Wenge Musica BCBG 4X4!
Hiki kikundi kilikuwa na magwiji wa muziki wanaosifika sasa kama kina J.B Mpiana, Allain Makaba, Werrason, Didier Masela, Adolf Dominguez na wengine wengi kabla ya kusambaratika na kugawanyika kwa vikundi tofauti.
Kazi nzuri @introvert !
:D:D:D
Ati crocs.
Punguza bangi my friend.
Hehehe.
Mercy anacalf down Feb 2017 so nawacha kumkamua shortly.
:D:D
:D:D:D:D:D:D:D:D:D
@introvert achana na fangi ya greenhouse
Unatuambukisha
Haka ni kafunda kale ka Betlehemu inasemekana kaliona yote yaliyotendeka??
Huyo ni ancestor wa Mercy akiwa kwa farm ya ADC.