A blast from the past

Hi @Uncle Thio

Huyo ndo nani? :smiley:

Hekaya swafi mkuu

Hekaya swaffi sana mzito!

Eeh hii imenimaliza…

Mamboch huwa cheap sana sijui wakuangi wamesoma ama shida yao huwa nini

Hehe … with Thiong’o there’s never a dull moment. I trully miss them escapades

Wengi wanatoka ocha wakijua jijini ndo kuna happen, before wajuwe ngotha ishadondoka na mucakwe ikatamba

Hekaya moto kama pasi

:D:D:D:D:D:D lingua noma saidi

Hekaya safi sana.

@Ken_Sarro nangoja yako

Mimi nangoja Nyarwath atoke self imposed sabbatical leave na hekaya za Othumoland.

Hekaya iko fiyan

@Nyarwath ulienda wapi? Leta hekaya

Kukula mafuta mingi+food ya mtoi=untameable horniness

Iko timam gathee…

Chonjo kama kawa.