A 1990 Outback

Jirani akiuwa bibi yake ureport kwa polisi pia ni formality?

‘Na akiibiwa anakuja kureport to D- for assistance?’
Read my fren. Inaonekana D- ni wengi.

D-? I wish…yangu ilikuwa jembe plain… “Nobody expects police to do anything apart from taking bribes”

Nikama kujificha na tawi la Jaba. Brikichoooo

Mūici ūtanyitītwo ni mūrīa gake!

huyu jamaa ako na tutoto from Mombasa to Malaba to Eastern Congo. Sijataja TZ, Malawi na Zambia.

very true,dio atleat anything stolen from you ikipatikana kwa crime scene hawa wajinga wasikufuate.

Jana niliona 2018 Toyota Prado Facelift hapo njia ya parliament ndo utokee Uhuru Highway ikiwa na number plate ya KAM…I was like who are they kidding??