92 k fee to blog in TZ

The TZ govt plans to have anyone who intends to blog pay up a registration fee of $920 (Ksh. 92k), and more other stringent measures are to be put in place to monitor them. Yes, kuna bloggers wengi sana vichwa maji lakini…All I can say is, there are many ways to blog about issues in TZ without having to be in TZ. Register a domain name elsewhere, na payment / ownership details tofauti…can’t trust who is, really, it cant be walk in the park for a govt using dinosaur methods to implement policy. Unless the population itself is more dinosaur itself,
http://www.africanews.com/2017/09/27/tanzania-to-license-blogs-websites-as-part-of-new-online-media-regulation//

Hata hapa kuna bratzzaa anatwambia juu ya maendeleo huko Tanzania. Naomba admin amlipishe $920

this has been on for like two weeks now,kabla tayamondi atombane kwa instagram.

@T255 leta maoni kaka.

It can’t work. You don’t have to a Tanzanian to post opinion about that country. You don’t even need to be there to write about it.

Why do our leaders create laws that are impossible to enforce ?

That is the kind of a government/constitution some people allied to the red party want here as if those two people are what we will live all our life. that country is in need of structural reforms.

There goes a rich tradition of schoopit Bongolala porn involving ‘tigo’, ‘nyuma’, etc.

Magufool wants CCTV installed on the web.

Stay on topic, instead of squeezing in your pet peeves at the first opportunity.

Pray for rahatupu

Megafool the bulldozer

:D:D

@T255 cannot comment as he has not paid up. Just another regular peasant.

Lately he has been using a different handle I believe.

Hii issue naiona imekomaliwa na wakenya pekee. Hakuna sehemu yoyote Tanzania tunaongelea mambo kama haya.

Just compare Jamii forums na Kenyatalk it will show you wapi wanauhuru wa kujieleza

Jamiiforums
[ATTACH=full]167637[/ATTACH]

KenyaTalk

[ATTACH=full]167638[/ATTACH]

Rahatupu walijanjaruka kitambo, kuna time pia waliletewa shida in 2015.

Jamii forums runs tanzania’s internet the way CCM runs the country. Mmezoea Ujamaa na chama moja na hio tabia mmepeleka hadi mitandaoni. Uliza kenya kuna forums ngapi vibrant, ukipata jibu uliza Jamii forums ina umri upi na wakati ilipokua umri sawa na vile Kenyatalk ilivyo ssa-hivi, kulikuweko wafuasi wangapi kule. Usituletee small gonad issues tafasari.

Hapa unaonesha namna gani ulivyo na wivu. Na huenda inakuuma sana unapoona nchi ya Tanzania ikiwa na umoja. Kwanza unatakiwa uelewe kuwa There is only one United country in Africa “THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA”
Hii tu inatosha kuonesha tofauti yetu na ninyi. Kwamba hampendi kufanya vitu kwa ushirikiano maana yake ninyi ni vibaraka.
Duniani kuna nchi chache tu ambazo ni United ni very powerful nations.

  1. United State of America
  2. United Kingdoms
  3. United Arab Emirates
  4. United Republic of Tanzania

Mmezoea Ujamaa na chama moja na hio tabia mmepeleka hadi mitandaoni

Hapa unaongea ukweli kabisa China it have own socialism called Chinese socialism. Ndiyo nchi iliyowapatia mkopo wa kujenga SGR yenu. Na kwasababu ninyi ni washamba mkaingizwa king. Mkopo ni mkubwa sana sijui mtaulipa vipi. Nyie mnafanya vitu kwa kushindana na Tanzania. Hamjui kuwa urafiki wa Tanzania na China ni wa miaka mingi sana. Wachina tuliwasaidia kupata kiti huko UN wakati nyie mnaramba miguu ya mabeberu. Halafu mlivyo wanafaki mnaenda kuomba msaada china. Hivi unadhani wachina wamesahau uhuni uhuni wenu?

Sisi Tanzania tupo na Tanzanian Socialism(Ujamaa). Tunafanya kazi kama sisi. Kwahiyo ni vyema sasa mkafunga madomo yenu maana kijana huijui hata historia ya Africa maana mlikuwa mkitumiwa na wezi ili kuhujumu Africa. Wakati Tanzania ikipambana kuwakomboa waafrica.
Tulipambana kuwakomboa waafrika kutoka kwenye ukoloni na nchi nyingi zilipata uhuru kupitia Tanzania.
Mkakati uliopo sasa ni kuikomboa Afrika kiuchumi. Ndiyo maana Rais wetu wa Tanzania anapiga hatua za kiuchumi lengo kuu ni kuwakomboa waafrika. Nyie hamjui mktaendelea hivyo hivyo. Mtaelewa maana ya haya maneno baada ya miaka michache ijayo. Ndipo mtakapogundua THE POWER OF SOCIALISM.

Uliza kenya kuna forums ngapi vibrant

Sihitaji hata kuuliza maana nchi yenu ipo uchi. Tunaijua in and out. Hakuna control yoyote, eti mnaita uhuru wakati ni chaos.
Kila kabila linatumia lugha yake na radio yake, hakuna control ya communication. Wananchi wanajitabulisha kwa makabila!!?
Kenya is only a Country but Tanzania is both Country and Nation.

Kuwa na mitandao mamia ni upuuzi tu maana mmegawanyika na hamko pamoja.
Tanzania hakuna Radio au TV zinazoanzishwa kwa kutumia tribe language. Tunatumia lugha ambazo zinatambulika kimataifa. (Kiswahili, English nk)
Sasa kama kila kabila linaanzisha media yake huoni huo ni ujinga na hakuna control. Wake up friend.

ukipata jibu uliza Jamii forums ina umri upi na wakati ilipokua umri sawa na vile Kenyatalk ilivyo ssa-hivi, kulikuweko wafuasi wangapi kule. Usituletee small gonad issues tafasari.

Sasa hapa unataka nikusaidie nini sasa? Ni ujinga wenu na upuuzi wenu ndio unawafanya mnaonekana vichaa mbele ya waafrika. Yaani hivi hamjishitukii. Kila nchi jirani na nyie kuna conflict

  1. Uganda Migingo Conflict
  2. Somalia mnauana kila kukikcha
  3. Ethiopia border conflict
  4. South Sudan Ilemi Triangle coflict
  5. Tanzania tena usiseme mara mnasema Mount kilimanjaro ni wenu mara oh!!

Hivi nyie hamjishitukii?
Mbona sisi tupo na majirani wengi kuliko nyie lakini hatuna conflict za kijinga hivyo? Conflict zenu za ndani impact zake zinaonekana kabisa kwa majirani.

Badilikeni acheni ujinga.