Hey guys which machine would you buy for 80k today
Specify unataka ya kasi gani?
Video editing n coding mostly
MacBook itakusidia but utaongeza 20-25k ushike m1 2020
M1 refurbished MacBook ama ongezea pesa upate M2 MacBook.
Nunua open box M1 Mac
How much would it cost ikiland apa Kenya?
Xiaomi notebook pro
Following.
Iyo 80k anauliza vile dollar iko mbaya. Ongezea kitu 8k if utapata Amazon with option ya shipping to Kenya.
Option yangu huwa kubonga na maboy wako USA wabuy from huko. Watu wanauza M1 zao washike M2, wengine nafanya trade in. Company zingine nataka M2 so nafanya refurbished ya M1 na kuuza.
Why would anyone spend 80k on laptop?
When there’s 35k options
Clearly you don’t understand a lot of things tech related, kwenda kabisa na hiyo i7 3rd gen yako
Huyo ni Fala kabisa…He is not a tech person,hawezi elewa hii maneno…Mimi laptop kama sio i7 8th generation,32GB RAM hiyo ni takataka kwangu…I’m using Unreal Engine,after effects,blender and hit film pro…
Na sisi watu wa Microsoft surface 4 pro tukae pande gani
Those are just numbers thrown around to bamboozle the weak minds
Kama hujui kitu nyamaza tu wacha kujiaibisha. Lappy ya 35k itahemeshwa mbaya sana na 5 tabs kwa Chrome. Kuna vitu inaitwa resource intensive applications. Hapo juu umeambiwa Unreal Engine, this programs require adequate computer memory to run and robust processors to execute functions. Ukijaribu apo core i7 3rd generation computer itakunia meffi na inyambe moshi. Saa hizi anything less than 8GB RAM and les than 8th Gen kwa i5 and i7 isnt as robust as a 30k phone, Bwana Kinyeshi
Bonobo in Chief, adding to what @Jimit has said, ata 8gb amekuwa generous, 16 ndio minimum, na bado vitu kama hyperthreading na IPC ni muhimu for workloads like editing.
Also, we accept akoho as an apology for speaking nonsense mbele ya wazee
Mimi ni giga elder 001
Wacha mcheso bwana
Banae, mi hushangaa sana nugu ikishajua ku-double click na ikishafanya kazi kwa movie shop ashakuwa IT consultant… Anywho, si uhamie ryzen based massinn mkuu?
Kama ni ku run vlc na kudraft MS/liber/open office docs, then i5 is enough.
Are you buying specs or a laptop?