800,000 hasoras have defaulted on hasora fund, wamekataa kulipa

[MEDIA=twitter]1621702485403394048[/MEDIA]

Can’t pay won’t pay

Hiyo number ni kidogo sana, zakayo tumemzoea na udanganyifu. The hype died and people forgot that thing, no one is repaying nothing. He is trying to show that he is winning.

silipi na silipi . hio thao tatu RAO alisema tusilipe

I talked to a guy in the village to ask him about the hasora fund. He told me he got 500 bob na ni upus since the cash is not even enough for transport to nairobi. He told me the fund should have been enough for him to at least enable him travel to nairobi and buy a bale of mtumba and start business. Alisema hasla anawarushia mahindi kama kuku na hio 500 bob, so hio mia tano alipewa alikunywa keg and forgot about hioo hasora fund maneno.

hatulipi

mbona nilipewa 1200 pekee:confused:
ata si kushukua ni ya worst option.
ulipewa ngapi kwani??

weka slip moja … schupid mongoose

[ATTACH=full]494122[/ATTACH]

Africans have zero understanding about debt and repaying. Ata nahurumianga all these loan apps mushrooming all over, there is a reason banks ignored those bonobos

Pia wewe ango ulichukua hasora funds?

Pesa ya Bure utawacha aje mboss

Itakurusha CRB.

CRB ni takataka, hot air

Hehe, na kidogo inikazia mkopo kwa benki. HELB sikuwa nimelipa and had to activate my status.

Kama hakuwa na fare ya kuja kanairo,ya bale ya mtush angetoa wapi?

Santa pharmacy doesn’t even know what hustler fund is coz he illiterate and can’t apply wadau . Wacha nitengee harvest nikule pesa si ya uda coz Mimi ni wa azimio

Hasoras walifanya watu wa azimio tusirushiwe six k monthly za kufuel gari..:smiley:

Nilikula nao lanye

:D:D:Dwatatu na ukabaki na chwani:D