8 year old silage pit

wanasema it smells like sweet pipe tobacco na ngombe zinaichangamkia sana, Huku kenya ni wapi watu hufanya hivi sana sana?
[MEDIA=twitter]1591365274602999808[/MEDIA]

Most Old folks still doing it albeit at a small scale, short time

It should smell like vinegar, and taste slightly acidic ( chachu chachu hivi).
I do it in both sunken pits & above ground concrete walled pits.

Silage hufanya ngombe zinatoa maziwa mingi Sana

Na ile machicha yenya EABL/Diageo huuza after making beer.