Looking for a Premio Nyoka engine, 7A preferably but 5A can do as well.
@Yuletapeli iko kastoma
@Yuletapeli leta your premio Nyoka
@Yuletapeli ala planteshen chairman kumbe uko na ride safi ivi
:D:D
Zi yangu sI nyoka, model ya 2007. Engine hio brayo anadai ataipata inda na less than 60k. Hapo nyuma ya Toyota Kuna baze kadha.
Nunua Nyoka ingine you swap the engine.
:D:D Sahi zimepanda bei utapata nyoka safi na 550k but ni gari poa sana and stable. Shida ni kuibiwa. Unai park unarudi unapata ishaenda.
ambia yeye anunue caldina NYAMA
Weka mbisha
Na vile mabroker wanachezea damage za 80 k minimum, uko na jamaa hio mtaa nimvutie?
That’s what I am considering, hii 110 ya chifu itaniangusha…gari nyepesi kama akili ya capotty!
Fika hapo Toyota sides za nyuma, Kuna dealer anaitwa masaku ltd. Hapo ndio nliwahi shika engine. Mwenyewe ni myuganda.
Usiende grogon, hizo huwa parts za gari local zimekatakatwa pale kariobangi south
Uko na contact za hio mraia, napenda shugli ya kumaliza in one trip aside from the threshold standard.
Nilifikanga huko kitambo kiasi but base yake bado iko
Kumbe uko na 110 kama Mimi?
Gari safi manual na spare parts inapatikana kwa urahisi
Exactly
Premio Nyoka though is powerful especially with that 7a engine, drove a friend’s to Nyeri and I was deeply impressed by it.
Premio nyoka ni Moto sana
Ala Marvolo uli upgrade ukatuacha tukitembea peke yetu kama siafu:D:D:D:D:D:D