7 million

Ok sitetei kadere wa mat lakini hiyo upuzi ya watu wa my car na phone wakidrive huwa common sana my own two brothers are very lousy drivers mtu Ako 120 kph na anachart na makunguru online my grandfather RIP was another lousy mbio Kila wakati na mnajua njia za Meru maybe My bros take after him. The only person I have confidence in driving me in our family is only my dad or me my siz is also a no sijui wameru na mbio mini.

Madere wa mat hukua chonjo sana…maybe it was bad luck…have you seen matatu manyanga yenye imetoka riko kayole venye hupelekwa kama fast and furious…si rahisi uskie ati accident…

If you drive recklessly and die, good riddance. Better still die slowly from your injuries and suffer.
It’s high time our police pia waangalie ni hongo Gani wanaweza chukua. Don’t take bribes from reckless drivers who endanger lives.
These are widow widower and orphan makers.
The economic toll accidents have directly and indirectly is high. We need to draw the line somewhere

Swali ni insurance italipia?

Insurance sector ya Kenya should be regulated asap kama ushawai kuwa in an accident uka wahitaji ndio utajua ni nonsense…kwanza jamaa wa psv ataona moto bahati mbaya driver akuwe sio mwenye ameandikishwa Kwa tlb ama akuwe Hana psv badge ama ana ata uniform insurance Inamruka mbaya…saa zingine insurance ya Kenya kama sio comprehensive naonanga TU ni mzuri ya kuweka kwa windscreen uska sumbuliwe na traffic cops