7 Die Instantly In Kendu Bay Matatu / Lorry Accident

Sad evening in Kendu.

May their souls rest in peace.

Yani msee anakupigia telephone anakusho ndio nakam tushatoka stage nichil place fulani, unamtegea, unashindwa niaje amekubeba ufala, si angekusho hakuji hivo. Kumbe msee alisha jiondoa man. Eh!!

Unapata habari later nani alisonga bana. Unakaa chini unafikiria, unaamka una pace about, unachukua nangos unauliza msee “wewe unasema nini sasa”. Painful.

Mimi ile day I lost my bro nilipigiwa simu nikiwa tu tao na take breakfast morning hours, nikaambiwa bro yako ametuacha, mehn, niliisha tu nguvu, niliingia tu kwa choo nikalia yangu yote mahn (nime andika hii comment mazeh my eyes zikawa watery). Mungu awape nguvu.

6 Likes

My Heartfelt Condolences to the Family and Friends… And Quick Recovery to the Wajeruhiwa wa Mkasa Huo…

1 Like