Toyota Hiace matatu smashed into a stalled lorry claiming 7 lives and injuring several.
[ATTACH=full]492536[/ATTACH]
Toyota Hiace matatu smashed into a stalled lorry claiming 7 lives and injuring several.
[ATTACH=full]492536[/ATTACH]
[SIZE=7]Saa Zingine Back Seat Ndio Safest…[/SIZE]
[SIZE=4]So you think… Hao wa nyuma waligonga vichwa kwa viti za mbele and probably head trauma will cost them a lot in future. Miguu zao pia ziligonga the front seats ile mbaya, so magoti ni issue lazima watadeal nayo maybe for life.[/SIZE]
Me since nigundue nissan huwa death traps…i only sit in the middle or in the back when i ride one…kukaa mbele wewe ndio utakuwa shock absorber in a head on collusion. I tell my loved ones too who ride nissan frequently to sit in the back. Jana tuu hapo mbele ya kenol nissan itataka ku overtake hakuwa ananiona ilibidi nisonge kwa shoulder. The guy was also shocked…ni kama hakuwa ananiona mchana bana
Sometimes when am not familiar with a rd at night…i slow down…a car or matatu passes me…the i follow the car at a safe distance. Kukimbiza gari usiku ni ngori kama hujui hiyo barabara waweza gonga pothole mwenda ama unexpected bump bana…i let the locals lead me…akili mtu wangu
Kenha should dual this road from Mombasa naivasha to malaba ,hii barabara has never been improved since enzi za gathesha 1
When did Toyota Hiace become a nissan? si u just stick to lanyes manenos na kutingiza kitanda?
Hata sina jibu lako
Kweli…i also do this
Mwambiie watu wengi huita hio box Nissan hata 3l na 5l
:D:D:Dhii story tulimaliza margarine zote ni bluband…washing powder zote ni omo
Itsa a general name for them…ndio nimesema i won’t argue with a fool
Wazito tunazijua kwa jina SHARK
I definitely knew what you meant you old cunt, Meffi wewe :D:D:D
:D:D:D nipatie heshima zangu ghaseer
Sawa lanye specialist:D:D:D
Ma late 1980s Nissan Urvan / Nissan Caravan ruled the Roads. Toyota was not popular van back then, ndio maana van zote za Matatu huitwa Nissan hata kwa news.
[ATTACH=full]492562[/ATTACH]
True I also do that especially when it’s long distance but some drivers ni washenz they usually think am following them then it turns out to be a race of some sort
Back seat huponea ponea though with injuries. But bila mshipi hio head on itakurusha kwa impact zone hata mbele ya driver mwenyewe. Na watu wengi hawajifungangi that joke of a safety belt in a matatu. As usual police will install a temporary roadblock near there to monitor traffic [SIZE=2]and collect 100 bob from each matatu without checking its status. [/SIZE][SIZE=4]Then it will be back to 120kph matatu speeds in 3 weeks.[/SIZE]
Toothpaste zote ni Colgate.
How I wish ile loan ya sgr ilitumika kufanyaa hii kazi