[ATTACH=full]449380[/ATTACH]
[SIZE=7]666,666 shots za 150[/SIZE]
Hii si ni lifetime ukikula takataka tu…?
:meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi:
Simp kama @under23 watauza family land just to get laid.
Pay 100 million for a post wall? Men are we crazy… This fellow needs guidance and prayers
[ATTACH=full]449402[/ATTACH]
Alafu baadaye uskie kuna msee alikuwa ana dry fry . Kwanza dame ndio anadai vitu.
IQ ya mwanaume hutegemea ni kichwa gani anatumia.
Na kuna mtu anakulanga bila gharama.
Huyo msee si mkisii. Umbwa yye
Hii si yule jamaa alileta convoy ya Porsche sijui ni Meru ama wapi? Pia si Kuna vile anakaa/ako kwa mix ya biashara ya Ariel? Aki ya ngai hii improved kienyeji isidai hiyo bait? Atamaliswa buana.
P.S: Mwenye ametuma huyu mkisii aambiwe akate simu, hakuna site!:D:D:D:D
Chocha tu!
What a simp, I bet he doesn’t have that 100m to start with?