6 months Korokoroni

have been incarcerated for six months , just got out ,but it has not been all doom and gloom, I got to learn very many things I never even imagined existed, plus I got to keep the loot (major loot)

KAMA KUNA MTU ANASWALI , AULIZE SAA HII

ulifanya nini ukajikuta huko? hekaya ikuje

Niaje Mwisii
tunajua nyuma haiko sawa

can not get in to details , all I can say ni Corruptions allegations

umewai pigwa risasi ya matako ( asking for @Jirani )

hehehehe!!!, I was the prefect huko ndani hapana chesa na mimi

Ulikua West P block 4?

Umefunguliwa settings kama kawaida ya huko usidanganye

hii mambo ya settings naskiya na nyinyi, hapa, ndani hata fununu hakuna, I guess Kenyans have watched too many American movies

lazima ukiingia prison ufunguliwe settings.but ni sawa tu kama wewe ndio ulikuwa headboy wao.

the first thing I learned is that wale wana ganji huishi kama wafalme, kama wewe ni msotaji hauna bahati

Hi @SonOfTheSoil

leta pesa sasa unyanganywe na

@Female Perspective

niaje malaya wetu mzee

Uko na bed bugs?

Kubuff
mimi nifungwe halafu tukule pesa pamoja, sindwe kabisa !!!

Kama umesota, settings ndio kuongea ama?:D:D
Ulikuwa unalala kwa floor?
Niliskia huwa wanahesabu 12 hours as one day,confirm?
Chakula ni aina gani na kuna mavita?

Lice to be precise

mujamaa pole pole wacha nikuitie wezako hapa:
Homo @junkie CREAMPIED
homo @webdev
homo @Jirani
homo @Atwoli
sijataja homo @Wakanyama
na homo @uwesmake
yaani watu wa room 254 munaitwa na your newest member @SonOfTheSoil

I have heard this before…money talks pale jela.