#covid19kenya
Kenya yathibitisha ongezeko la wagonjwa 57 wa corona.
Idadi kamili sasa ni 887.
Mpaka kufikia sasa #Kenya imepima sampuli 43,712.
Vifo ni 50.
Waliopona ni 313.
Madereva 12 kutoka Tanzania walikutwa na maambukizi mpakani LungaLunga na wakazuiliwa.
@Panyaste★ tupee link ya bayern
Cases are surging instead of decreasing
Jimit
May 17, 2020, 2:09pm
8
They are deliberately infecting people
Download hiyo app
https://volasportslive.com/
Na uniundie meza.
sorry, i dont do links. i am subbed to Sky germany
Mawaya
May 17, 2020, 2:33pm
12
Wakazuiliwa meaning denied entry ama?
Hakuna surge, hizi numbers ziko tu poa…Get worries when 1% (450,000) of our population is infected. Peleka sadaka kwa wanyonyi ifika hapo, in the mean time, kunywa busaa starehe.