50% alcohol ,100 proof

[ATTACH=full]409646[/ATTACH][ATTACH=full]409648[/ATTACH][ATTACH=full]409649[/ATTACH][ATTACH=full]409650[/ATTACH]

weka date na time stamp

Toa stands kwa TV umemount kwa ukuta

Umeinunua kitongoji kipi? Sijajaribu hii. Naeza taka leo

Hama bedsitter buda

End chupachap utapata huko

Irish breakfast

Ni kali sana mpaka unaongeza sukari?

Hii ni how much?

2000

I was surprised to learn that, almost 50% of potatoes grown in Russia are used to produce Vodka.

Shame. Shame. Shame:D:D

Wapi ile mkate ya kula na pombe kama last time?

uligongwa, smirnoff blue ni 1700

hahaha same here. Tv used to be on stands halafu the day I decided to mount kwa ukuta I Lost the bloody screwdriver after mouting the Tv nikawacha hizo miguu hapo. its been over 2 yrs.

Hizi ni zile tv za Skygo zenye stand hukua inbuilt. Hakuna kutoa. :D:D:D

Ni camera ndo mbaya ama tuseme tu ni nyumba ndo inakaa hivo?

Wasee wa ocha

50% mzinga peke yako Wednesday morning. You’re an alcoholic seek help.

Hizo bakuli na spoon zinakaa za mtu za mashidashida hivi