Kama umeshikwa na police hawana uniform wewe just say ur last goodbyes
But Dci are very intelligent fellows…
Niaje hawakufanya calctulations
Hawa washa kua transferred to modagashe police station
kama wakenya ni wajanja. waangalie wakati wa PEV waangalie majina ya polisi waliokuwa huo wakati kama waliotajwa ni hao hao sasa majibu yote yatatokea wazi. wakati ndio hutoa majibu yote. Hicho kikosi cha wauaji ni kimoja hakijabadilika. wafichuliwe!
1 Like