https://pbs.twimg.com/media/Ffkz3m8aYAIqr0D?format=jpg&name=medium
[MEDIA=twitter]1583353807647297536[/MEDIA]
https://pbs.twimg.com/media/Ffkz3m8aYAIqr0D?format=jpg&name=medium
[MEDIA=twitter]1583353807647297536[/MEDIA]
weka Floor plan hapa tuone kwanza
rent, hapana nunua.
Mali safi…hope Iko kwa mixed use development.
serene park
Labda kama nimeiba hio pesa lakini isikuwe jasho yangu.
Naweza kula lanye wa tagged hapo Kwa balcony
Kama siwezi choma nyama hapo nje ama nifuge tukuku kama @uwesmake I can’t buy
Hata kama umeiba there are better ways park your money. Hizi nyumba za Waiguru ziko makutano, Machakos junction
Chamwada siku hizi ndio kama the new Maina Kageni. Of late analeta investments whose owners and sources of finances are shadowy as shadowy can be. Kuna moja iko coast eti dem ameenda mayolo for three years na ameamusha gorofa sijui ya how many floors. The investor ukimwangalia anakaa tuu njaa bado.
Hii ni property ya minji minji alijenga after nys heist
Chamwada alipoteza direction the moment alianza kukuwa agent ya ma washwash
Btw machakos junction & Kathome centre on your way to Machakos town.
Mazingira outside that perimeter wall is very dry. No greenery kabisa.
Noted alianza 2020 with promoting handshake projects on his platform. Inaonekana ameshikwa makende na some cartel to push their agenda
What’s the square footage?
Property ya minji minji.
Izo nyumba haziko worth io pesa wanauza. compound ni kidogo sana
True. <14M is fair.
The house has nice finishes. However, at 26M you won’t get value for money.
same mombasa road yenye nyumba zilijengwa kwa riverbed zikauziwa Nairobians mvua ikinyesha ni kuswim kwa bedroom . wacha ikae