40+ yr old women in office are a nuisance

Nini inakuanga shida ya hawa wamama…

Leo wamevurugana mbaya na dame wa chai aged 22.

Ati vikombe zimepanguzwa na kitambaa sio safi… in my head am like “Bitch mbona unanusa nusa vikombe za chai?” Wewe weka chai na usafishwe mecho na 22 yr old peng ting

Afternoon hatujapewa ata chai.

The lady ako na a KDG mazda atenza… 40+ years mbona anasumbuana na mtoi ameanza life makes no sense

While 22 year old natokanga job mapema namfuata stage tupande mat moja nilipe fare with the aim of kutwanga hiyo mali in the future

Btw elders whats the best way kuteka huyu dame wa machai

8 Likes

Mnunulie mandazi na njugu

11 Likes

Hard pass.

1 Like

Peng ting . Go on :+1:t6:

Hivyo ndio maisha iko mimi nilibeef na mathe ya 40+ kwa ofisi juu alikuwa ananikalia sana.

Na kunituma ujinga nimlete chapo chai mandazi na pk.

Adi yeye alikuwa na Toyota Vitz KDK.

2 Likes

Wivu. Clear and simple. They envy her youth, and the attention she gets from men. In future, the young woman can buy their cars, but they can’t buy her youth and beauty.

It’s the same thing why wamama, kwanza wa kanisa, click and complain when a young woman dresses skimpily or walks provocatively. In reality, they don’t care about the young woman’s morals. They are just pissed because the young woman reminds them of a time gone by, when they ruled the streets.

15 Likes

it’s the natural instinct to hate on the competition. She knows she can outcomepte her for the bosses resources in one second

5 Likes

that’s why i love remote working… mambo ya ofisi ilinishida

2 Likes

Hii remote working mnafanya si mnatusaidia sisi wenye tuko jobless tusaidike pia.

First frame nmemwona tagged ii kijiji itatuonyesha mambo…

Ni wivu ndio inamaliza these old ghasia women. She hates to see the young and beautiful lady getting attention from men. Maybe even her husband no longer admires her and now she can’t imagine that such a young girl is getting attention from men.

6 Likes

Mmama amefika 40 years sasa yuko na pesa… gari, masters degree etc, hao gated community

Aesthetics, makeup na nguo amevaa ya 15k… viatu na handbag zinamatch yaani, yet interactions zake zote na men ni mechanical. People actively avoid her like an old nyanya :tomato:

Dame wa chai alifanya tu diploma ya 1 year ya hospitality akiingia hivi unona watu wanaume wanaexcuse ya kuongea na yeye. Mwingine anajipelekea kikombe, even 50year + men cant help themselves. Hile attention anapata ni wagwan

Must drive the old mbitches insane haha

9 Likes

They would drive a knife through her heart if given a chance

2 Likes

Jipendekeze kwa mumama umpatie kijiti atulie. Dem wa chai utafurahia siku mbili, then you realize kutomba maskini ni balaa. Shida tupu.

7 Likes

Ati hard pass. @EL_CUCUY we ni mjinga sana. Weka picha ya bibi yako tuone basi. Ghaseer.

1 Like

Given option ya kukaliwa or kupewa slices ukionokea i choose the later

giphy (5)

5 Likes

wisdom detected.

1 Like

Alejandro bado hujaacha kufantasize na crush wako wa nursery?

Fact.

Mulize rent yake ni how much? Mushow unataka kulipa nusu. Kama anaishi solo mushow unataka kuleta shopping kwake. Peleka shopping after ume lipa hio rent nusu. Beba mzinga hio siku. Total cost ya damages divide by 150. Make sure umepiga hizo shots zote. Hata kama ni siku kadhaa. Usisahau umake a profit

3 Likes