4 Bedroom house at Garden City, Thika road. 200K per month

1 Like

hii ni salo ya watu wanne

2 Likes

Zi, watu mbao wa ten k ,

1 Like

Garden city is a fckn cold place

Walimu 5 wa senior school/JS na 7 wa Pry

1 Like

Niliwaambia kuna levels kwa umaskini na utajiri. Kuna place ukikula mutura ya 50 na supu ya 10 daily watu watashangaa unatoanga wapi pesa while kuna place ukiingia na X6 ya 2017 kurudi chini watu wanashangaa unaendesha takataka gani hio.

5 Likes

x6 ya uwes ni ya 2016

Nairobians are rich.

Narobians are thieves.

2 Likes