[ATTACH=full]453776[/ATTACH]
Soldout, si mko na pesa
Si alikuja Kenya kitambo sasa amerudi tena. Kwani Hana mafans Huko America. Labda walete new edition, Freddy Jackson, Alexander O’Neal etc labda old heads watachangamka
bei ni one-chwiza
Hapa ukitaka enda Kama MGTOW upate mtu ashajilipia
never heard of him
anakaa wasee wa jazz festival watu wa kiingereza ya mapua waende