3 yrs sijalala usiku

For the last 3 yrs I have never slept between 8pm and 5am. Am either checking some information online,discussing some deals,checking my business accounts,planning for the future,reading a book, online,or making long calls. As in everything around me runs between 8pm-5am. During that period I have what I call “my personal work time”.
I sleep at 5-8 am. Go to the office. Run here and there, visit clients till 2pm. After that am too exhausted hadi 7:30 pm. I take a nap ikifika 2pm after lunch. I tend to believe my life is programmed for a different world not Kenya. Nikam time zone yangu ni different…Japan hivi.

Sijui but a friend told me Nairobi Kahawa ni expensive usiku kuliko mchana sababu watu wako na pesa hutembea usiku. I went silent.

Shida ni bibi kutaka hii kitu usiku na saa hii uko rada vibaya.

hehehe… hatulali pia chief. I bet you are dealing with people in different time zones. I understand you. You cant find a replacement as efficient as you for those working hours.

Buda sijui last nililala before saa nane lini. .u r not alone in this

Kitunguu inuke by all means

nilikuwa nimelala na kausingizi kakaanza kushika alafu shetani ingine inanipigia simu na si kitu ya maana anauliza. Fala nafikiri ni kitu important alafu naskia "haujalala boss? sasa izo ndo swali gani. Sasa usingizi imelost

Kuna wale watu wanashinda kunywa maji. Especially women who want to stay young forever. Unapata mtu ame-forcefeed maji kaa lita tano na anashinda ameketi kwa desk kwa ofisi. Kuzeeka na kufa ni lazma. it’s not your prerogative to make choices even.

Mimi kama sijaonja huwa silali till 4 am kama leo nakesha. 7am niko up. I tend to drink in the evenings on all days that end with Y.

Wewe na Blaze are birds of a feather. jamaa ako bar as we speak na ni qrt to 1am here. Uzuri yeye ujua ku maintain. Anaweza ingia home 4am na kesho 9am tutapatana job

For some reason pombe ndo kazi yangu…so I never sit and consume it in a relaxing mode. Infact I only toss due to customer demands.

But I do swallow JD 700ml alone once in a while.

Ulipata license tena ama hako ilikua above board? :D:D. Chunga pancreas na liver, siku hizi ni frothy like always.

Hii fombe ya kila siku mtu anaweza acha aje?

Heheeee

Labda ujaribu kwa hao, it bores chapchap msee ana doze. Else kama mimi dna hudai night cap always.

Bibi atahudumiwa na kijana wa maaka.time zone yake ! Sisi hapa tunangoja hekaya tu !

sasa kuwa rada vibaya sana inazuia nini umpe haki kisha urudie shughuli zako akilala?

Job ya garbage truck haina pressure mob mimi husikia

Wezi hawalali normal…

…na hawasumbui…

Kweli some pple here live a funny life,maself, i only take scotch once in a week tht is on Sunday afty with ma bros. from there, ata ukiniitia pombe na sufuria sigwes, i have to take another 7 days ndio nilewe tena,i cant drink two consecutive days.

pea bibi kitu wacha upuss