Hio gituamba tukizaliwa ilikua…i guess its still there, will check this weekend. Taidys ilianzishwa na kitilit tukiwa campo, had lots of fun and pussy in there. Tukiwa highschool kulikua na coco savana but naskia they have changed it to something else
heheh …nikitoka zilikuwa tu…
nmepata idea ya road trip mpaka njoro campus…though mkebe yangu banae inasumbua…uchumi imefinya mimi makagarey mtu wa kilimani banae
Taidys waliomoka mbaya bana. Sahii taidys suites Naks ni mambo mbaya. Ukiwa mbirrionaire unaweza get room huko penthouse unaenda lala na gari yako. Pale upperhill wanainuwa another upscale pia.
2007 umbwa akina @imei2012 walinipata kwa streets bado kurudi campus nilikula slap moto nikapelekwa na truck ya jeshi mpaka gate ya main campus…ilikuwa imefungwa ata …nlipotelea mitini…
sijui nani alifungulia D- za lanet barracks…michuki ama karangi
Nakuru is dead siku hizi ni kufika huko mogotio nichome nyama fresh nipitie hapo london opposite lake oil kuna club na topup kisha autopilot brake nashikia uthiru. The fun is gone from that town kina platinumz na club 64 tumeachia mayoungins wapigane huko