3 Things You dint Know About Jumakumbafu

  1. His full names are Alvin Sunguti, a witchdoctor by profession.
  2. Ni mluya kutoka Bungoma kwakina @Mundu Mulosi
  3. Akona na dawa ya kila kitu hata kurudisha mtu amepotea (please bring back @Nefertities to the village).

Attached find his resume.

[ATTACH=full]63290[/ATTACH]

Kanono enda ukamue ngamia za Mzee Abdul Mafudhi na uache kujaza server na umeffi

Fatso wachana na watu wa coast. Nime kushow jo…wachana nao kabisa.Kuna video tumeona hapa earlier on …waaaa. usipende kujipata hio situation. Kwanza vile wewe ni mnono watafurahia sana.

Sawa muyamaa, Pilipili Bayi ametoa advance ama leo pia amekukausha

Kurudisha mtu kivipi?

:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:

Msee amekutiliwo akimanga wife wa mtu pale mombasa. Hubby amekuja na ma atwoli waka weka huyo fisi "accolade"ya Rusev wa WWE. Submission position alafu waka anza kumkamua. Cheza chini Fatso…watu wa coast nimewa gwaya

Hehe … rusha hio link mujamaa.

Fat kadudu umesahau kuweka “no 3 will shock you”

Ndo tukisema mcheze chini mnauliza how low…

Hiyo findeo ni horror movie. Usitake ona

Hakuna advance bana. Na kesho niko job, hakuna kupumzika

eeh, kama CSR activity…the village will be eternally grateful…

Peasant alert!

Mjamaa wa SQNY cheza chini

Wekeni Wrink ya hiyo findio jameni

Did you know that kawasaking is called onanism, and Mark Twain has a social treatise on it. Thought you should know Retired bajajist.

Mkienda na ma beste club kuwasha halafu wa lost before bill iletwe…pigia Dr.Sunguti awarudishe.

Enda telekram, ama uende Twirra and search for hashtag #ArrestBomboluluRapists

That name Alvin sunguti is Sunguti’s only son. Remember sunguti used to play for harambee stars as no 4