3 Million Ilienda Hivyo

Hii kutafuta vanity itamumaliza. One day when he’s poor plucking wild fruits in the bush, he will remember he spent 3 Million on a concrete slab

[MEDIA=facebook]100044268977654/posts/778352480317044[/MEDIA]

[ATTACH=full]497466[/ATTACH]

Sijui utasidika aje , ama wachu tu

@PundaMjinga ongea

Okuyu hawezi spend hio amount on slab… hio yake ni zile mtu ameweka in some alley unapanga letters zako hapo inakaa like the real thing just for a photograph.

Inaitwa chase clout ama ni clouds

Pesa ni yake si yenu , I don’t see any problem with a man spending his money as he sees fit. Shenzi hapa kazi ni kulia watu ni masikini 24/7 .labda huyu kijana hatawi sota as you all pray akue masikini Kama nyinyi

Kama ungekua na degree ungekua ,hii ni sales and marketing strategy ,huyu mujamaa ako sawa

Do they accept anyone. I have three mirrions.

This is why we keep insisting that degree ni muhimu sana.

  1. Samidoh is a Kikuyu artiste not a global music superstar. Hajulikani outside Kikuyu and getting a star on the Hollywood walk of fame would have made news in mainstream media.
    2.Ungekua Unge enda kwa website ya organizers or even they Instagram na ungeona Samidoh hajatajwa…

[ATTACH=full]497637[/ATTACH]

[ATTACH=full]497638[/ATTACH]
[MEDIA=instagram]Co7fwerLjyQ[/MEDIA]

Degree muhimu sana

Bwana si mshughulike na maisha yenyu.

Mnafuata huyu jamaa sana. Pthooo

@Micymas utawacha umama lini?

Ukiacha kuiba pantie za wamama kayole