Mtumba in itself is a bad idea. Unataka kununua the worst of the bad idea hivyo tu? Imagine kuvaa boxer ya mtu unajua. Alafu sasa imagine kuvaa ya mtu hujui. Hujui kama alikua na genital warts. Hujui kama alikua na kaswende imemature mpaka pus imejaza privates zake. Wewe unataka tu kununua… pale high school boarding hukuona vile wasee wachafu walikua wanaambukizana skin infections from kushare nguo? Yuck!
.. mimi pande yangu na weza sema siwezi valia boxer second hand… shika boxer nne na mia mbili pale kwa muuzaji wa nguo mpya. Shika ma vest. Again boxer nne ni mingi sana. Men we only need two na vests tatu. Zaidi ya hio ni u-slay queen.
Inner stuff kina boxers, ngotha, bras, lingerie za mtush nazo is a no. Tujiheshimu kidogo. Sio mambo na doh ama umaskini, ni pride jo afaa hata kutembea bila any au ku recycle moja than kusalimiana na mlami hio design.
Wacha ujinga. Yenye umevaa Monday ukaosha by Wednesday iko ready kuvaliwa Tena. I own four boxers but naona ni waste. Imagine having three boxers lying idle kwako.