2go

Back in 2010, there was this App that South Africans gave us. It was called 2go. I am not sure whether it is still there, and Locust Talkers might not relate, but it was the best thing back then. Wasichana wa KU walijaa hapo ni kama walikuwa wanalipwa kujoin…

I remember it well ilifanya niende Meru nikakwama huku juu ya Michuki rules…

chatrooms ndo zilikua on another level. manzi akijoin mafisi wote walikua wanaingia uko. watu walikua desparate kuruka

So you are around 37 years old na uko ktalk?

Wewe utakuja kukatwa mbo-raw, Punguza kuendaenda kwa nyumba za wanawake. It should be vice versa

I Turned 38 last month.

was in ku by then…

Anafaa kuenda Ile Kijiji ingine?

hehehe… I remember.

2010? 2go? Mi nakumbuka nikiitumia way earlier than that… tukifuatilia elections na PEV 2007-08 hapo. Lakini ilikuwa imeweza! Before that kulikuwa na bluepulse, hii ni wahenga tu wataijua

Hizi placenta za 2000 haziezi elewa

Cograts! But atleast post vitu za 38 year old - za kujifurahisha tu

Nipostie tafadhali 10 year old

Same here I remember using way earlier than 2010. Coz by 2010 I had already stopped using it n whatsapp ndio ilikuwa imeshika sana

@gashwin @FieldMarshal CouchP @Mawaya @Abba wako between 50-80 yrs.He has a long way to go

Haha…inanikumbusha nilikuwa kisumu.Found this kmtc chick,8/10 kwa photo nikapea date tukutane tuskys tuangushe kinywaji.Waaa what turned up gave me a shook hadi I promised never to try a date in Kisumu.
Mwingine ndiye alinichange mind ,though she saw my worth akaanza mafeelings and attachments eti she needs something serious.Vile niliiingia kodera forest sikurudi…

we unacopy tweet word for word
[MEDIA=twitter]1250655521192972288[/MEDIA]

Mambotch waliflood 2go ikaharibika…

Ah yes, I remember the nudes from that “Chokoza” singer dropping there

Anyway, looking back, it was a pretty cringey place. Filled with people (mostly teenagers) who didn’t yet know internet etiquette. Pretty much everyone there talked like horny Indians do lol.
“want some fuk, show bobs” etc If it dropped now it would be way better since kila mtu amejanjarushwa na social media.