250k Land for sale in Bisil, Kajiado

Introducing Zawadi Gardens!


Contact us for a site visit.

You should fire your Marketing Manager/ Staff

Kuja inbosk.

-Work on iyo poster bana
-Bei imewekwa kiholela
-No info ya mtu mwenye hajui basil, exact location, how far from main road.
-Hakuna hata key selling pointers like social amenities, shule, hosi etc.(how far are these hata kama shamba ni bei ya njugu
-Kuna drainage ama kukinyesha ni mto, stima? Maji ni ya kujichimbia ama kanjo, Choo ni septic ama ?

1 Like

Hii watu ya mashamba haiambiangi watu process ya ku acquire title whether absolute ama leasehold

1 Like

[Bei imewekwa kiholela-No info ya mtu mwenye hajui basil, exact location, how far from main road.-Hakuna hata key selling pointers like social amenities, shule, hosi etc.(how far are these hata kama shamba ni bei ya njugu-Kuna drainage ama kukinyesha ni mto, stima? Maji ni ya kujichimbia ama kanjo, Choo ni septic ama ?
[/quote]
Kindly see more about this property here: