220 Ktalk Members Online

Naona Admn wananukisha kitunguu. Where did all these new members come from? All of a sudden kuna new members kila mahali. I suspect wengi ni redditors. Ama Admn wali advertise kijiji? Upuzi ni kwamba there is still no content. Watu walete ma hekaya tuwachambue kama njugu karanga. New members…how did you discover this site? Me nakumbuka i google searched “Sabina Joy” landed in a one hot hekaya…which made me read all the Hekaya sections…nikajua huku sitoki nimepata dirty minds :green_emoji:

6 Likes

To all new members, this guy once paid a lanyes rent, hoping she would remain exclusive to him, only to discover the lanye was selling on dating sites under his nose.

Anakuanga a notorious simp.

19 Likes

Kwani leo hakuna kitu ya kufanya tinder premium, dollhouse premium, tagged premium, YouTube premium, tiktok premium and the many other sites you pay premium for?

2 Likes

Budah…gani hizi tena bana…samehea mimi priss. Niliwacha hiyo tabia mbaya. Iwe funzo kwa new members pia. Wasiwai lipia maraya rent :green_emoji: those fuckers ain’t loyal

7 Likes

Dollhouse ni gani tena?

Mimi sikumbuki how I ended up here. It must have been hekaya that led me here. That was more than 10 years ago.

Nilikuwa natukana Jaruo na gisii time ya elections until I realized we are all pawns in this game. Hizo election zote from 2012, 2017 nilikuwa empty debe. Ya 2022 sikukuja forum juu niliona itakuwa Tu empty debe na shafting ni ireire plus tugege na wakamenos generally huwa wapuzi so vile niliona tyranny I didn’t even log in.

I don’t vote anymore and detest all politicians.

7 Likes

Rustler nalipia malaya zangu rent … hakuna kitu mnaniambia hapa. New villagers… cha muimu ni; husiwai lala kwa nyumba ya malaya yako kama si wewe unalipa rent. Kuna mwenye analipia na ghasiaa utanyongwa.

3 Likes

Website for overpriced snatch

Also let new member know that you are a bottom fagget…you forgot to mention

1 Like

Katibuni new members.

Pris

1 Like

I only see the usual suspects around :smile:

The new UI makes it easy for new members to join the Kijiji. We now get more than 200 new users per day…

1 Like

Fix the block button nimechoka na kuona post za huyo maraya mzee @TrumanCapote

1 Like

These figures are of no interest to anyone but you. First fix the issue raised by @SchlongGiver above and then address the ones raised in this thread conclusively. It’s been almost a year now since some of them were raised.

Also, I’m not sure I can trust an admin who can’t even spell administrator.

1 Like

Wasee wengi hukujia mawaidha. I was gooling something, must have been local. Kama 2014 hapo. Actually ni beshte yangu aliniambia kuna site inaitwa Kenyatalk check it out. Nilisign up hata bila yeye kujua and i have never left.

2 Likes

Welcome new villagers.

It was 84, 106, 124, 158, 196, then pap 216 active members in one session.

For any agricultural or polygamy related advice, you can seek free advice from me.

4 Likes

Niliona ikiwa 221…never seen so many people here before

2 Likes

hehe, mimi niligongana na hekaya safi, nilicheka yangu yote…kujaribu ku like ikanituma ni join…ku join nkaanza kuchambua hekaya kwa sex and relationship section za kwanzia 2015…ilikuwa time ya COVID…April 2020. Hapo ndio nlipatana na terms kama lanye, PNC, cover the face and fire the base na kadhalika. Since then nme kuwa tu humu humu.

Hii place huwa tu yake kivyake.

6 Likes

Kumbe wewe ni NV. Hata haujui wanderi. Meffi ssna

1 Like

Niliingia 2019 ndio nilijua ktalk

1 Like

Me too…kwanza hiyo section ya hekaya…nilisoma zote pia za since 2015…i think ktalk lost great members…those guys were funny as hell. Uwesmake used to be active too na hekaya mwenda pia :green_emoji:

1 Like