2025 Money Redpill

In 2025, if you still think of making money legally in Nairobi, jua wewe ni fala sana.

7 Likes

Nyundo hata mimi nadai connection ya hizo pesa za carding buana…FBI nita deal nao. 500k per hour…

Nitachapa kazi wiki moja tu

4 Likes

please stick to matatu business…

wewe sio tapeli…

lakini naweza kushow form ya Crypto

3 Likes

Leta hio form upesi. Nadai V8

1 Like

Drop knowledge mkubwa

1 Like

If you have to wait till 2025 wewe ndie fala

Pesa haijui kesho.

Jaba tunazionea 18

2 Likes

its a crypto investment fund called DFC

you invest $300 to earn $8 daily

2 Likes

8 dollars …ni 1300 daily?

So goal yangu ya 500k daily ni moshi tu

4 Likes

You mean kama zile pyramid schemes za Public Likes and izo mingi sana imsink na doo ya watu?

3 Likes

Pandora’s box

Mimi naghula na kalemeno kaa nonzenze

2 Likes

300Ă·8 = 37.5 Days to recoup your investment.

Kuna kufinya likes or photos or watching videos or refering people?

2 Likes

Niaje kiplangat

2 Likes

Hehe, hapo hakuna mbirrions.

RIP in advance

Tema hio mate mbaya shifo

1 Like

Nikufinya laptop dollar zinamwagika.

1 Like

kinda

Think,think

1 Like