[ATTACH=full]500992[/ATTACH]
Wueeh nimekubali hiyo inaitwa mwosho polite you’ve got to give credit where it’s due.
Points to note though;
-
Ramsdale needs to practice more on saving penalties. Huyo msee btw sidhani ashawai save penalty yoyote in his professional career. Yaani ball inapita chini yake bana na ingine badala kudive kupunch out anaiflick anadhani pena msee atabembeleza ball:D
-
Fabio viera needs to follow tavares on loan ASAP!!! Na siongezi kitu hapo, PERIOD:mad::mad::mad: