200bob

Kuna msee leo ananilalamikia venye jana msee alimutoka 200.

Aki mko chini aje hadi mnaiba 200bob

…sasa ulirudishiwa hio mia mbili?
Walikufanya mbaya saidi.

1 Like

Hio ni ya shot

1 Like

Najua iyo mia mbili imekuuma ndo maana unaiongelea mpaka saa hii.

1 Like

Hio ni shot na ubaki na chwani