2007 elections

upigaji kura wa mwaka 2007 ulinipata ugenini pale kwa akina @kabuda nchi ya malkia elisabeth…nilikuwa mfanyi kazi wa ukarabati wa barabara zao pale ulaya na mshahara wangu haukua mmbaya… basi niliweza kuishi kwa nyumba ya kifahari na pia nilikuwa na satelite dish iliyoweza kushika stesheni za nyumbani kama vile kbc ktn na kadhalika.
basi pale kwangu hungewakosa wakenya wa aina na kabila mbali mbali.
mnamo tarehe 27/12/2007 wakati wa jioni wakati ambao nilikuwa na tazama ktn nikitegemea matokea ya upigani kura, niliskia mlango unabishwa… kufungua mlango, nimkapata Akinyi pale mlangoni…
Akinyi alikuwa kidosho mwanafunzi wa sheria kutoka kule ugenya, haswa sublocation ya aboke uwai…siku yake kuumbwa nyasaye alichukua muda wake ili amuumbe aumbike…matiti mazuri kama mapera…ngozi nyororo kama ya mtoto, tabia nzuri kama…
Akinyi alikuwa kiumbe…afro yake ilikuwa imechanwa vizuri kama ya bint el sudan…
Nikamkaribisha mwana dada nyumbani mwangu…akaja akasema “emali” nimekuja kuona tinga baba jakom akichukua othamaki
nikamkaribisha mwana dada mkenya, hivi akipita yale marashi yakafika puani mwangu nikamashukuru mungu kwa mwaumbile yake…

6 Likes

Ya kidosho twangonja
Ya mauano huyanjui, hukushuhundia !

endelea boss kumbe hiyo mwaka ndio pia ulikamua mama ya skinhead UK, nakumbuka hiyo hekaya

7 Likes

:o:o:o

3 Likes

Wacha umama mjamaa. Wapi m wisho WA hekaya?

2 Likes

kwa ufupi… Akinyi aliwatumia baba na mama wakiwa pale ugenya…salamu kila aliposkia kuwa Jakom yuko mbele…Raila Odinga alikuwa mbele usiku mzima… ahsante sana Akinyi mwenyezi mungu akubariki

5 Likes

Ulifikicha thresholdi?

peana Hekaya kama Village Elder bwana.

2 Likes

buda hakuna vingine…dem alijikakamua sana lakini IEBC ikamwangusha baadaye…mimi nikashinda either way

Huyu jamaa ndie alipatikana na kijana kitchen akikamua mama?

4 Likes

@Starborndj si urushe hekaya moja hivi itumalizie hii anticlimax

lazima…:D:D

sijui kwa nini nasoma Na accent ya Moha Jicho Pevu

4 Likes

ni yeye mwisii wa coomer

1 Like

ugonjwa mbaya saidi

Kwa kweli HANJUI

2 Likes

.siku yake kuumbwa nyasaye alichukua muda wake ili amuumbe aumbike…matiti mazuri kama mapera…ngozi nyororo kama ya…
uyu jamaa anakaa wa ii form 4 ya matiangi

Labda classmate ya matiangi radios yangu

Kuma haikuibiwa…ilijipa

2 Likes

I got your back bro…