Natafuta hii power supply. Kama unauza ambia mimi
Kshs 3200, enda pale hikvision, 1st floor, just entrance ni hapo Kenya mpya zinabebea
AliExpress
Pozi. Jumia wanauza 1300. Ama sio genuine? Coz somebody else told me 3k
Hii ni kitu locally available