Today is supposed to be Ali Express version of Black Friday lakini sioni madeals huko. Some of the prices wanauza huko seem to be the original ones na pia ukaongea na seller they give you the same discounts any other day.
Wekeni zile deals mnaona huko hapa
Peasant
nenda ukatege sabina joy meffi wewe…
nmefungua post kumbe unaMenstruste kama @gashwin
[ATTACH=full]333602[/ATTACH]
nokia c1 @ 6000sh
Changamka lakini KRA ina kungoja pale posta. Utaitana Ikiwezekana heri uongee na seller msigo utumie woria pale isli.
Nunua mbeult
[ATTACH=full]333605[/ATTACH]
How do you do it? Nataka kununua kitu na size na price yake lazima kra watanikula kitu kubwa?
I have imported from aliexpress, various small electronic gadgets through posta and none has ever been taxed. I think they only tax items of high value.
Niko na hizi belt mbili. Price was around 1000 plus delivery. Hii ati they cost 2,604 shs ni chocha uone nikama unasave
Salama cargo isli
0715 949832 isli
0711 901818
Ama steve kuria in china can help you.
[ATTACH=full]333613[/ATTACH][ATTACH=full]333613[/ATTACH]
Asande msito
Real leather ama zile imbo?
Ata sijui but inakaa real
Hio number ya AK = Alex Kuria kwa card unaweza tumia whatsapp
An original leather belt at a supermarket goes for like 1500. Ukiongeza shipping na KRA, si bei ishafika
Ata mbelt kra wanadai kakitu
Nilifikiri anaongea about AliExpress sale. Kama ni AliExpress this, my Friend, might not work. It is very convenient on Alibaba but very hard, if not impossible, on AliExpress.
[quote=“brother, post:8, topic:239823”]
How do you do it? Nataka kununua kitu na size na price yake lazima kra watanikula kitu kubwa?
[/QUOTE[/QUOTE]
It works. Vile Una fanya Una ongea na huyo mchinku mwenye anauza Mali inbox. You give him address yako ya Afrisali. He will charge you kama kampuni iko Beijing atatuma mzigo Guangzhou kitu like 5 dollar. Halafu you will pick your msigo in isli. The woria charge per kg. So heri ununue vitu zitafika kg ndio ulipe hio 1200.
He means AliExpress doesn’t ship to local adress