How do they arrive at these figures.I have ssen quotations hadi za core banking system za oracle for central banks na hawajawahi quote over 100 million kshs.Ile wizi iko kenya ni maajabu.Imagine what that money can do.
We have a population of 44m. So basically the government used 104b that is 2300 per person to use the SHIF system. Umeffi on another level
Kiburi yenyu.
Hasra tawara
1 Like
io pesa iko enough kujenga university mpya na na kuimport lecturers kutoka California watrain vijana 10,000 kuunda io kitu wanaita erp, na bado pesa ibaki ya kuajiri ao vijana 10,000 watengezee wakenya erp yyote enye inahitajika.
3 Likes