Sioni hata faida ya kukaa na lijitu kama lile hata exposure halina haendi popote nazunguka zunguka hapo hapo kama paka wa nyumbani hata aikisubiri panya na mifupa ya samaki… kwenda kutafuta kwa jirani wala hataki na hana huo ujuzi