You will never make money in East Africa!

https://www.youtube.com/watch?v=mvOF76T_8i4

Sipendi kuona hiyo pesa ya Mark Zuckerbugga. Inaniuma sana.

Elon Musk aliingia kwa lisk kama gari ndogo.
Lakini Bill Gates naye yafaa afanye handover.
Hawa ni wa kuambia ‘money everywhere’

The Chinese beg to disagree. Our colonialists a.k.a UK also disagree. There is serious money to be made in East Africa. The trick is that money has to come from exports. Mimi nikikafunga lazima nishike 20+ acres pale Murang’a county for agribusiness.

Muranga utatoa wapi 20 acres na vile tumashamba ni tudogo?

The Chinese want to use East Africa as a gateway TO MIDDLE AFRICA (Congo).
Hakuna asset ya maana uku.

agribusiness siku hizi ni ya wahindi, they lease and grow for export

Walitombwa mbaya sana. Last year alone 5 large scale farming Indians and Whites that I know hanged up their boots and quit the sector. Naona shida ya food uku mbele. Moja alimove to UG

Yeah. Smart Africans do that too ni vile sio wengi. That’s where the $$$ is.

Hata wazungu wanaona value huku. A few weeks ago nilikuwa land board mahali kule Laikipia County kufinalize transaction ya land. Wazungu wananunua mashamba huko in tens of acres for agribusiness purposes.

I think areas like Laikipia would be easier and cheaper to get 20+ acres for agribusiness.The dry climate there can be countered by using modern forms of irrigation like drip…

Zitoke wapi?
Hakuna mashamba huko,ama unaotea gani,remember a huge chunk of Muranga lies on semi-arid land

20 acres ni kidogo sana haziwezi kosa.

Anga @Azor Ahai ikoragwo iii dituu manii, ata mimi nangoja kusikia atazitoa wapi.

Ungekuwa unauliza nitatoa wapi pesa sio nitatoa shamba wapi. 20 acres is nothing in any county mtu akiwa na pesa.

@Thirimaii @ChifuMbitika and other doubters. Think big. In my post nimesema nikipata pesa. Ukiwa na pesa hizo 20 acres zitapatikana and even more. The real challenge is the money, not the land. So muache maswali za ujinga ati 20 acres nitatoa wapi Murang’a. Hata Kiambu 20 acres zinaweza patikana the problem is the money not the land. Hizo ni deals za wazito.

https://jiji.co.ke/kambiti/land-and-plots-for-sale/33-acres-in-maragua-ridge-muranga-county-6ny97oHFNuldFcOeXTf4XNcL.html?lid=G4uy77Wr-Tc4LUaK&cur_pos=3&pos=3&ads_count=272&ads_per_page=17&page=3

Pesa najua uko nazo,shamba ya hiyo size Muranga ndio sioni ukipata…though nimefikiria…enda upande ya Garissa rd,kuna mzae fulani aliuzia Kenchick shamba na nikidhani bado amebakisha shamba kubwa

Kambiti is dry as fcuk,lakini kuna maembe mzuri

Fundaa…pesa ya kununua acre more than 20 Muran’ga nikuwe nimetoa wapi?? Hiyo pesa sina. Shamba sio gari ama simu ati msee anaweza nunua akijisikia.

But I agree with you on the other point. Sides za Thika kuelekea ukambani pia kuna good land that is available.

Hiyo land naona iko na river frontage msee. It borders saba saba river. Kama imeguza permanent river side moja na tarmac side ingine that is a goldmine.