Yaani toyota zinaibwa hadi kwa matanga

Hasara sana
[ATTACH=full]490182[/ATTACH]

Smells like insurance fraud. Contrary to popular belief, car theft peaked in the 90s but from early 2000s to date, they ain’t that common.

Thought insurances walisema they wont cover Probox comprehensive for obvious reasons. Hii hata na dawa hawezi ipata.

These days burial ceremonies are hotspots for muggings and theft. Wanaiba gari ama wanaiba pia vitu ziko ndani ya gari.

Mazishi zime kuwa the go to for car thief for sometime thats why u see those young security guys issuing receipts with the car number plate ! sasa zime kuwa fav ya pickpockets kuna moja last month I know watu 4 lost their phones !!

Ukienda kwa mazishi, don’t just leave your car anywhere and unattended .
Especially in Kiambu county.
It doesnt matter the make. Itaenda.
I have heard over 10 similar cases over the last 1 year.

kiambu sana sana. funerals have to have police security

Just use an Uber for such meetings ama you want people to see you have arrived

Umeiba ngapi?

Ghaseer wewe :smiley:

Sawa DCI.

Fielder zinaenda kuenda…

how are these cars stolen? kwanza hizi gari za push to start naskianga ni ngumu kuiba. programming a key fob for such takes close to 5 hours. na ndio ikuwe programmed lazima mtu achukue the actual fob to the programmers to be programmed. in simple ni hizi gari huibiwa na watu wanakujua vizuri na wamefuata behaviour yako na timetable yako to the latter.

Boss, most car thefts are not a random act. Meticulous planning goes in to the act. By the time that push start car is gone mtu alikuwa na hio key fob na program yake kitambooo

Marehemu aliamua he won’t go down bare handed. Hahaha.

Hata demo zinaenda sana

exactly. hata mimi sionangi kama ni a random act. hata gari zenye huashwa na key zinaibiwanga na mtu anakujua. basically ni ati your property is likely to be stolen by a person you know than a stranger.

Guys wacheni kupatia vijana wa carwash gari yako ,ati anaikujia ,anapeleka car wash ,sijui garage ,test drive alafu anakuletea kwa ofisi , utalia machoss one-day