Woyooooo JF imerudiiiii

Home sweet home imerudi ila tu kukoment ndo haiwezekani

Jamani na pm hakufunguki.

PM panafunguka ila hauwez mtumia mtu sms zaidi ya kusoma tu yaliyomo

PM MBONA IMEKUBALI KWANGU NA NACHAT NA MTU NOW?

Shukran mazee

Goood news

Pm ipo poa

Yeah nimejaribu imekubali pia

Enjoyyyyy:cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool:

Nakuja kuchukua namba numby

Kama namba za viatu navaaga namba 40:D:D:D:D

Hahajaha

Hills au sandals za kawaida? Hahaha

Kabla hajakujibu kaninunulie kwanza mimi kile kiatu basii

We kiatu chako ntakununulia.

Tuache kuwa villagers, turudi zetu kuwa Expert Members, Senior Experts.

Uciof lv

Kwani Ilienda Wapi Mpaka Imerudi

Yebo yebo hahaha

Asantee. Nakutumia namba na aina ya kiatu whatsapp