workout

Sunday bike run

[ATTACH=full]441668[/ATTACH]
[ATTACH=full]441669[/ATTACH]

U

@Wait one minute Iyo elevation ni mlima.

yes

@Wait one minute , this is not a 150/- affair…

Wewe unaona Mandizi wapi huku?

Embere eye yaaa

Embere yenye haijanyolewa na inanuka

Bro, Kuna Mahali ulianguka off a cliff?
Hako kamteremko around 14.22 kanakaa kalichukua zero seconds…

Ingekua ni hivyo si basi speed ingeongezeka? Inakaa hapo ndio mlima ilianzia.

hapo ndio started slowing down for u turn back

So tuseme ata ukiwa na bike Kipchoge atakimbia 42kms na bado amalize before wewe na uko na bike

mimi ni mtu wa kawaida kipchoge ni elite runner

Hawezi ni shinda nikiwa na bike…never

install app
[ATTACH=full]444407[/ATTACH]

weka screen shots zako